DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Chaaama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikusikia Laban og unasema hivi atakutemea mate usoni huyo mbeba mabegi wa Jwaneng 😂😂Wamepiga bom mochwari meno yote nje, hii timu sijui imetoka kijiji gani
Hamna mkuu.Kuna uzi ulifunguliwa umu JF kua hizi timu kubwa kuna namna nje ya uwanja wanaset mambo kwanza
Mimi kama vile naamini hivi.. hizi mechi mbili za yanga na CR, Simba na galaxy hazipo kikawaida kabsaa
yaan timu pinzan zinakua ni kama zimeduwaa sio kuduwaa kuzubaa sio kuzubaaa
Si wachawi na majini yao.yalikuwa Misri
Si wachawi na majini yao.yalikuwa Misri
Utopolo muda huuView attachment 2922400
Walivitoa wakaenda navyo MisriAaah kumbe huwa hawafukii vitu uwanjani