FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Wydad huko ilipo ilikuwa inapambana mpaka kupata bao katika mazingira magumu

Wydad aliamini Jwaneng Galaxy anaweza kufanya lolote hivyo ni vyema na yeye akajibidiisha ili ikitoa zari apite.

Lakini nayaona matumaini yao yakienda kufifia baada ya halftime kuingia LiveScore.
 
Pamoja na kwamba Mimi ni shabiki wa Simba lakini tukifanikiwa kuingia robo fainali tusibweteke kabisa. Hii Galaxy ni daraja TU la kufikia robo fainali hakuna timu hapa. Hii galaxy haina tofauti na Gwambina FC.

Una Hakika We ni shabiki wa Simba.....!

Iulize tena nafsi yako... Mimi ni shabiki wa nani?
 
Chama ndio icon ya mpira kwa Tanzania

Sio kama wajinga kila msimu kumsajili, ukweli wanaujua ili inawalazimu kutukuza vya kwao (hata kama vibovu) kwasababu nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani.
 

Mkuuu kama simu imepasuka kioo tuuu leta nikakueekee kipya......
 
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Simbaa
#WenyeNchi#
 
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Simbaa
#WenyeNchi#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…