GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Na,ww familia tulia leo ni shangwe...Jobe, saidoo wanapaswa kiachwa msimu huu simba inahitaji watu sio hizi takataka, saidoo umri umeshamgomea, jobe hamna kitu, jobe wawili jumlisha koublan wawili unapata nusu ya phiri.
Bado hujasemaaa, mpaka usemeeeHii timu wanayocheza na simba ni mbovu sn sijui waliingiaje hii hatua.
Dah π π π€£π€£π€£π€£π€£
ππππHaha "oo thithi ndio timu pekee tuliompiga mtu goli nne kwenye kafthiel mthimu huu" [emoji16][emoji16]
Aah Jobe ni tatizo..!Kocha ana kazi ya kumfundisha offside trick
Sio leo hawa hizi zinawatoshaTunataka ya Horoyaπ€£π€£
Tatu BwanaππBado mbili
Jobe anataka kufunga ana hasira sana na kupata goal kule mbele kulikuwa na chama na Kibu piaJobe kamnyima chama pasi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UTO BWANA MKIWA MNACHOMOA MWIKO MNAPENDA KUJIFARIJI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu na nusu huyuMwamba wa Lusaka
Habari mnazo mliwapa kambi avic town sasa mnawanawa ?Yanga hatunaga hata habari hizo
CHAMA ana miss sana combinations ile ya Larry BWALYA walikuwa wanaachana pasi kwa harakaJobe haraka za nini
Nani wa kunipa nauli? Au yy ndo atumiwe?Kama nakuona vile kwa furaha ya ushindi,safariaa hii ukipewa nauli ya dar lazima uje umevaa jezi ya makolo sio ya arse8 tena