GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Jobe haraka za nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na,ww familia tulia leo ni shangwe...Jobe, saidoo wanapaswa kiachwa msimu huu simba inahitaji watu sio hizi takataka, saidoo umri umeshamgomea, jobe hamna kitu, jobe wawili jumlisha koublan wawili unapata nusu ya phiri.
Bado hujasemaaa, mpaka usemeeeHii timu wanayocheza na simba ni mbovu sn sijui waliingiaje hii hatua.
😂😁😁😁Haha "oo thithi ndio timu pekee tuliompiga mtu goli nne kwenye kafthiel mthimu huu" [emoji16][emoji16]
Aah Jobe ni tatizo..!Kocha ana kazi ya kumfundisha offside trick
Sio leo hawa hizi zinawatoshaTunataka ya Horoya🤣🤣
Tatu Bwana😄😄Bado mbili
Jobe anataka kufunga ana hasira sana na kupata goal kule mbele kulikuwa na chama na Kibu piaJobe kamnyima chama pasi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UTO BWANA MKIWA MNACHOMOA MWIKO MNAPENDA KUJIFARIJI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu na nusu huyuMwamba wa Lusaka
Habari mnazo mliwapa kambi avic town sasa mnawanawa ?Yanga hatunaga hata habari hizo
CHAMA ana miss sana combinations ile ya Larry BWALYA walikuwa wanaachana pasi kwa harakaJobe haraka za nini
Nani wa kunipa nauli? Au yy ndo atumiwe?Kama nakuona vile kwa furaha ya ushindi,safariaa hii ukipewa nauli ya dar lazima uje umevaa jezi ya makolo sio ya arse8 tena