FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Labda ungekuwa sahihi kama ingekuwa ni mara ya kwanza kwenye hii michuano simba kumkanda mtu za kutosha na kuingia robo.
Yanii muwashukuru Jwaneng mtepetooooo leoo ! Hakuna lolote mechi imeelemea upande mmoja kabisa 😕😕😕
 
Waliingia Makundi bahati mbaya kama Yanga mwaka 'Alfu moja Mia tisa tisini na nane' .... ndio 1998 waliburuza mkia
 
Tatizo.watu wa ukanda huo ni wangoni...wanaongea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…