FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Haha, "oo thithi ndio timu pekee tuliompiga mtu goli nne kwenye kafthiel mthimu huu", kiko wapi [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi match km hii, huwa tunapiga vyediii,
Mwaka jana 7, mwaka huu 5 had dkk hii.
 
Muwashukuru Jwaneng mtepeto tu

cc Smart911
Tunashukuru sana kwa hersi na gsm pamoja na utopolo kwa kuwapa kambi hawa jwaneng wafanyie mazoezi pamoja na ule ulozi
 

Attachments

  • 20240301_105740.jpg
    20240301_105740.jpg
    61.5 KB · Views: 3
Yanii muwashukuru Jwaneng mtepetooooo leoo ! Hakuna lolote mechi imeelemea upande mmoja kabisa 😕😕😕
Si mara ya kwanza jwa Simba hii ni mara ya 5 kwenye haya mashindano.
 
Back
Top Bottom