FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Notes za kufanyaje wakati hatua unayoishiaga ndio naye kaingia? Sasa muanze kuvuka robo ili umuache hatua utopolo ila kwasasa wote mpo darasa moja la robo fainali. Tuome ni nani kidume wa kufuka hili darasa
Kunywa maji mengi sana
 
Kipigo kikubwa mpka sasa kwny ligi mabingwa mpk sasa...
Mwaka jana record tuliweka sisi, na mwaka huu tunaweka tena sisi.
Nani km [emoji881],
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
FT
[emoji881]
[emoji3590][emoji833]
[emoji120]
[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
 
Back
Top Bottom