Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #581
π€£π€£π€£Bora yule mganga wa kinyumenyume mlimpiga chini. Huyu sasa msimuache. Horoya ni Coastal Union iliyochangamka...
Nguvu MojaHT' Simba 3-0 Horoya
Mwambie fomu za kujiunga zipo ila hatutaki awe snichi kama Manara πNasikia kabadili gia angani na kuhamia Simba hahahaa
Watajuta kwa nini walitufunga kule kwao.[emoji1][emoji1][emoji1]Baada ya kufungwa bao 1 kule kwao
"Ooh wale Horoya wako vizuri kwa mipira ya kutenga hususani kwenye kona Kwasababu ya vimo vyao"
Leo wanapiga kona ya sabini lakini hata on target hakuna
Sijajua leo wamechezesha ma dwarf au niaje?