FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

45+2' Kuelekea kuwa mapumziko

Naaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele ya mabao matatu kwa bila dhidi ya Horoya

HT: Simba SC 3-0 Horoya
 
Baada ya kufungwa bao 1 kule kwao

"Ooh wale Horoya wako vizuri kwa mipira ya kutenga hususani kwenye kona Kwasababu ya vimo vyao"

Leo wanapiga kona ya sabini lakini hata on target hakuna

Sijajua leo wamechezesha ma dwarf au niaje?
Watajuta kwa nini walitufunga kule kwao.[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom