Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #581
HT' Simba 3-0 Horoya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Bora yule mganga wa kinyumenyume mlimpiga chini. Huyu sasa msimuache. Horoya ni Coastal Union iliyochangamka...
Nguvu MojaHT' Simba 3-0 Horoya
Mwambie fomu za kujiunga zipo ila hatutaki awe snichi kama Manara 😀Nasikia kabadili gia angani na kuhamia Simba hahahaa
Watajuta kwa nini walitufunga kule kwao.[emoji1][emoji1][emoji1]Baada ya kufungwa bao 1 kule kwao
"Ooh wale Horoya wako vizuri kwa mipira ya kutenga hususani kwenye kona Kwasababu ya vimo vyao"
Leo wanapiga kona ya sabini lakini hata on target hakuna
Sijajua leo wamechezesha ma dwarf au niaje?