FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

club bigwa mwaka huu imejaza timu za kipumbavu
1.vipers
2.horoya
3.coton sport
4.zamalek
5.simba
Unaposema mwaka huu, ukumbuke kwamba sio mara ya kwanza Simba Sc kucheza CAFCL na mara zote imekuwa ikifanya hiki inachokifanya sasa (kuingia robo fainali)

Tuliza fuvu hilo.
 
Wachambuzi wa kibongo bana

Yaani walivyokua wanaiponda Simba unaweza kudhani simba ni Lipuli
 
Mbona kama huyu mchezaji anamng"ong'a refa?
 
Raisi wa Horoya kaka mtanashati, kama namuona muda huu. Simba sitawasamehe kumfanya yule kaka akose raha πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…