FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

club bigwa mwaka huu imejaza timu za kipumbavu
1.vipers
2.horoya
3.coton sport
4.zamalek
5.simba
Unaposema mwaka huu, ukumbuke kwamba sio mara ya kwanza Simba Sc kucheza CAFCL na mara zote imekuwa ikifanya hiki inachokifanya sasa (kuingia robo fainali)

Tuliza fuvu hilo.
 
Hi! Sis Kalpana safii sana Simbaaa..ndio inatakiwa hivyo hadi finala hiyooo
Screenshot_20230318_200126_YouTube.jpg
 
Wachambuzi wa kibongo bana

Yaani walivyokua wanaiponda Simba unaweza kudhani simba ni Lipuli
 
Raisi wa Horoya kaka mtanashati, kama namuona muda huu. Simba sitawasamehe kumfanya yule kaka akose raha 😔😔😔😔
 
Back
Top Bottom