FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Alichokifanya Enonga kimewastua wachezaji wa timu nyingine wanaoangalia hii mechi

Walitegemea kumuona Chama alifanya mautundu kama yale, lakini leo wamekutana na kitu cha kitofauti na kujithibitishia kuwa kumbe ukiwa mchezajintunwa Simba vitu kama vile vinawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…