FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

wazee horoya ana mgomo baada ya bosi wao kuwageuka kuwapa m100 kila wakipata goli kama alivyo ahidi ko wamekuja kamilisha ratiba kwa tunao fahamu hakuna jipya
 
Kabla ya mechi nilimsikia mdau anasema Horoya ni wakali ndio maana makampuni ya betting yametoa odds nyingi kwa Simba

Nikamuambia Muhindi sio mjinga we jichanganye baadaye tuhesabiane hasara.

Sijui kama alibeti ila naona kaweka mkino shavuni kama ana jino bovu
 
Hizi sasa sifa wazee..tulitaka kweli kushinda lakini sio kama hivi!🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…