FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

7-0

Hiyo inaitwa ukibakwa tulia, ukipapalika kujitoa unakuwa unaikatikia
 
mzee inafahamika horoya hawana cha kupoteza baada ya raisi wao kuwazingua ahadi ya kuwapa fedha zao m100

nashangaa mnacho changilia
Utakuwa ni mtu wa ajabu kama hujui sababu za Simba kushangilia.
1. Robo fainali
2. Ushindi mnono
3. Horoya na yeye angekuwa na nafasi ya kuingia robo fainali kama angeshinda( Kwahiyo, ilikuwa fainali).
4. Simba ilikuwa inasemwa vibaya sana( ushindi huu unawafanya maadui waaibike na kutahayari).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…