Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Vipi mtani,Yangu macho Mtani.
Tunatengeneza madirisha na milango ya Aluminium ndani ya siku 7 tu.๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mtani,Yangu macho Mtani.
Wydad Casablanca, Esperanse Tunisia au Mamelodi Sundowns.Zilipofika bao 3 Horoya akafikiri jamaa atafunga zipu
Famchezo nini na kupigiko cha 'wiki'..Uzi umekimbiwaa
Sio utani mkuuuFamchezo nini na kupigiko cha 'wiki'..
Aje yeyote tu....Wydad Casablanca, Esperanse Tunisia au Mamelodi Sundowns.
Nacheka lakini naogopa!
Utakuwa ni mtu wa ajabu kama hujui sababu za Simba kushangilia.mzee inafahamika horoya hawana cha kupoteza baada ya raisi wao kuwazingua ahadi ya kuwapa fedha zao m100
nashangaa mnacho changilia
Mzimu wa 'Bob junior' umehusika na mauaji huko 'Lupaso'..๐๐
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Horoya na Vipers zishakutia nguvu au sio? [emoji16][emoji16]Aje yeyote tu....
Hii kitu inaumia ikiwa wpLolote baya liwakute simba kwa uwezo wake mungu.....
Napokea ofa mkuu๐๐Nina offer wakuu๐๐