FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Hivi mtani Shadeeya huu uzi umeusoma mpaka mwisho kweli?

Ikiwa umebanana soma tu japo heading ila ujue Chama kashinda 3 Mzuka, Jean Baleke na Putin wana dabali kwani Horoya walikuwa na pancha kibao.

Kwa ufupi Simba wanaidai Ikulu ya Chamwino shilingi milioni 35 tu.
 
4.Maudi wanatafuta kichaka ...tumekaa pale tunawasubiri kesho.Tunawaombea Mema..wachezee maombi yetuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nani alimtuma kuja huku..Punguza uongo,walitumwa waingie huko?
Haya ya kunyiwa pesa hayako kwenye mashindano haya
Labda tuombe CAF waongeze hicho kipengele, punguzeni SHOBO DUNDO..

Simba angefungwa usingeandika UOZO kama huo.

Tupunguze ujuaji.

Simba amefanya vizuri ni sifa na apongezwe.

Na Yanga naye afanye vizuri taifa liogopeke kimichezo.

Hiki kilikiwa kilio chetu miaka nenda miaka rudi.

Angalau sasa hizi team mbili zinatupa mwanga na kuhamasisha vijana kujituma katika Soka.Na ligi yetu itazidi kupanda.


Haya mengine ni Uozo warudi kwao.
 
Leo kama uwe shabiki wa yanga halafu mke shabiki wa simba, na bahati mbaya uwe hauna nguvu za kiume nakuhakikishia kesho mapema mke lazima akachepuke na shabiki mwenziwe wa simba mwenye nguvu za kiume
Ongeza sauti kabisaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo tuna roho mbaya sana.
Sisi hatuhusiki na ahadi zao.

Kafungwa Man U 7.Sembuse Horoya.Mpira una maamuzi magumuu.
Waendelee na Migomo,watakula migomo hiyo na raisi wao
 
Fix sana we jamaa.. leo mtapigwa kipigo cha mbwa koko,kipigo ambacho chozi lake litawatokea ulimini! Kipigo Chenye pigo lisiloisha ukali wake!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…