FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Hawa jamaa Horoya wanapigiana visambusa balaa hadi Golini, Simba wasikabe kwa macho itawagharimu..
 
Kuna matatizo mengine ni ya kujitakia. Shomari ww ni beki unapopanda uelewa kuwa nyuma hakuna beki upande wako. Toa pasi haraka urudi uwaachie wenye jukumu lao.
Ndio maana tunacheza na double-pivot ya Kanoute na Mzamiru. Kazi yao kuu ni kufanya cover ya nafasi za wenzao wanapoenda kushambulia. Modern Football
 
Back
Top Bottom