FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Nyamtuka we Kinabo hakuna kutia huruma kiboya tulikutuma sisi?
 
Fix sana we jamaa.. leo mtapigwa kipigo cha mbwa koko,kipigo ambacho chozi lake litawatokea ulimini! Kipigo Chenye pigo lisiloisha ukali wake!
Uwe unajifunza kuwa na akiba ya maneno hata kiasi tuu itakusaidia sana maishani,,,Sawa Dogo!!!
 
Back
Top Bottom