Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini walimuita mnyama timu ndogo??Tunaiombea msamaha Horoya [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sasa naweza kwenda banda umiza...nikamalizie dakika zilizobaki
kwa horoya na vipers dau ilitakuwa kuwa laki 5 hizi timu uwezo wake na malimao ya katavi havipishani sana
Naomba mnisamehe nikikosea kutabiri na siwezi kuanza upyaNimechungulia vibuyu nimeona Mnyama akitamalaki nyumbani kwa ushindi mnono wa mbili bila
Ivo yaan👊Nimechungulia vibuyu nimeona Mnyama akitamalaki nyumbani kwa ushindi mnono wa mbili bila
Mkuu sisi kama simba hatuwezi kuitwa timu ndogo na hawa digi digi lazima tuwafunze adabuTunaiombea msamaha Horoya [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Wasameheni, hawakujua kama mlibadili yule kigagula wenu, wa kinyumenyume 😂😂😂😂😂😂😂Kwanini walimuita mnyama timu ndogo??
Sio shida zetushangilieni sana ila safari yenu fupi