FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

kwa horoya na vipers dau ilitakuwa kuwa laki 5 hizi timu uwezo wake na malimao ya katavi havipishani sana
950176F0-6010-45E0-8C80-9E01537BD82F.jpeg
 
Mpira wakupbania Robo umeisha, saizi ni warm up kwa ajili ya Robo
 
Tunaiombea msamaha Horoya [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mkuu sisi kama simba hatuwezi kuitwa timu ndogo na hawa digi digi lazima tuwafunze adabu
 
Back
Top Bottom