Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Because he has played with VIMBONDEEEEEChama’s incredible performance for Simba tonight:
• 90 minutes
• 62 touches
• 89.4% accurate passes
• 3 shots on target
• 3 goals
• 1 assist
Describe him in your own words! 🇿🇲✨
Leo tena Horoya imekuwa timu mbovu? Wabongo bwana, kwanini usiseme timu bora imekutana na timu bora zaidi?Horoya kwa namna wanavyocheza ilikuwa halali wapigwe nyingi, kwanza awakumuheshimu mpinzani ambaye yuko nyumbani kwake, wameingia kwenye mchezo wakafunguka kuanzia dk ya kwanza ya mchezo, na hapo hapo wakashindwa kujielewa kwamba sio wazuri ni timu ya kawaida sana ambayo nafikiri bado wanajitafuta ili kurudi kwenye ule ubora waliokuwa nao misimu miwili iliyopita ambapo waliuza wachezaji wengi sana na kuacha wengi pia, Sasa unapokutana na timu kama hii basi zitumie nafasi unazopata kiuhakika na ndicho walichofanya simba leo, kujisifu sana pia dhidi ya timu kama hii napo sio sahihi sana, unaweza ukajiona bora kumbe uliyekutana nae pia ni garasa, Ongereni jiandaeni vizuri dhidi ya wanaokuja kwenu ambao sio tena horoya bali ni timu aswaaa
Mimi nilishasema, hivi karibuni Simba hii hii itampiga Yanga goli nyingi tu hadi watu watashangaaNatamani sn siku 1 tumpige Yanga hivi
Wajina huyo! Great of all times [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
kunahilo jamaa nyuma ya scars linafiki balaa.naleo haliandiki chochote zaidi ya kuweka maemoji tuu.View attachment 2556921
Uzi uliwaka Moto.. Sio kwa hizi Typing
PoleniKila lenye heri liwe kwenu horoya timu yangu ya utotoni