Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Yaniiii sio kwa Bp na sheli anazotupaHuu uandishi sio mzuri hasa kwa wanaofuatilia hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaniiii sio kwa Bp na sheli anazotupaHuu uandishi sio mzuri hasa kwa wanaofuatilia hapa
mara 2 wachezaji wanachezewa faulo anakausha na faulo zote zimefika golini kihatari zaidiRefa?
Yaani mzabzab ni mkia kabisa, nakuangalia tu 🤣🤣🤣🤣Acheni zenu bwana, lete mgunda. Atatoboa tuu
atawapa tu si unaona anajitahidi watafutiaPenaaaaaaaaaaaaaaaaaaatiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Ndio unayoitaka 😂😳
Presha juu juu 😂Huu uandishi sio mzuri hasa kwa wanaofuatilia hapa
Na wakikumbuka saa mbili wana kibarua kizito kule Tunisia ndiyo kabisa wanatamani wapate furaha sasa hiviHogo Fc leo mtakufa kwa vijiba vya roho
Waachie wenzio basiPresha juu juu 😂
Watanuna haooMihogo fc...Ndo kwanza droo sipati picha likiongezwa mtakavyo pumulia uzi
Usihofu mkuu tupo pamoja sana,Waachie wenzio basi
Wapigeni tuone.Tunawapiga kama ngoma
Cha pili kinanukiaWapigeni tuone.
Atutafutie tuu..Naona ellysasii anawatafutia ushindi simba kwa kila namna ..simba wanacheza fauls anapeta tu...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Unaboa bwanaPhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Gooooooooooooooooooooooooooal
Kick