FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Mkuu hivi unafanyaje ku mute comment za mtu, maana sitaki kuona comment za huyu shoga
Kwenye comment yake,bonyeza kwa jina lake,kisha kwa juu upande wa kulia utaona dots tatu hapo ukibonyeza itakuja hiyo option ya kublock/Ignore.Bonyeza hapo utakuwa umemaliza kazi.Huoni tena comment zake
 
Jamani iwe kijani iwe njano ya alizeti Simba muongeze goli
 
Kwenye comment yake,bonyeza kwa jina lake,kisha kwa juu upande wa kulia utaona dots tatu hapo ukibonyeza itakuja hiyo option ya kublock/Ignore.Bonyeza hapo utakuwa umemaliza kazi.Huoni tena comment zake
Tayari mkuu shukrani
 
Back
Top Bottom