FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Paw tuondoleeni hizi kero tafadhali matusi sio mahali pake hapa
 
JamiiForums685660863.gif
 
Chendambu please acha tuendelee kufurahia mpira. Naelewa wamekuanza, ila wakaushie. Kama mtu aliona unamboa ange ignore tu, si kuanza kukuita jina alilokuita. Wewe uko kama mimi mtu asipokuja kwa adabu naanza naye tu kwani sh. Ngapi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ila relax bro...
 
Gooooooal simba 2-1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duhuhuhuhuhugu
 
Tukitoka droo ndo inakua ajeee kwamba magoli yanaongezeka kuwa 14 pwente ngapi?
Tutakuwa na point 18 lakini usijali maana wala mihogo wakishavurugwa leo na Waarabu kule Tunisia wakifika hapa watapoteza mechi kadhaa kwa stress watakazokuwa nazo za kutolewa CC.Ligi bado sana hii kwa sasa,mradi tu tusipoteze hii mechi japo kushinda ingekuwa ni vizuri zaidi.
 
Dah kwa hiyo ule mzemo wa kwamba u hawi hauvuki bahati ni batili. Maana nyie huko kimataifa mnapiga tuu lakini hapa nyumbani hali mbaya
Mbaya sana Kwa kweli... hatuna mzuka wa ushindi kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom