FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC
📆 30.10.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 8:30 PM
20241030_000449.jpg

Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc
20241030_193606.jpg

Mpira umeanza
Dakika ya 2
Sbs 0- 0 yng

Dakika ya 3
Boka amefanyiwa madhambi

Dakika 6
Mabadiliko katoka boka kaingia kibabage

Dakika ya 15
Yanga wanafanya mashambulizi

Dakika ya 16
Yanga wanapata Kona hapa

Dakika ya 20
Sbs 0-0 yng

Dakika ya 25
Sbs wanapata kona

Dakika ya 30
sbs 0-0 yng

Dakika 31
Aziz k amekosa nafasi ya wazi

Dakika ya 40
sbs 0-0 yng

Dakika ya 43
Duke anakosa goli la wazi

Dakika ya 45+2
HT: Singida BS 0-0 Yanga SC.
20241030_212050.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 49
Aziz k kafanyiwa madhambi

Dakika ya 53
Yng wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 60
sbs 0-0 yng

Dakika ya 61
Yanga wanapata Kona na wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 67
Pacomeeee goal

Dakika ya 71
Yanga SC wanapata Kona

Dakika ya 79
Sbs wanakosa goli la wazi hapa

Dakika ya 81
Kibabage kaumia na anaomba kufanyiwa mabadiliko nafasi yake anachukua bacca

Dakika ya 84
Anatoka pacome anaingia mudathir

Dakika ya 88
Sbs wanapata Kona

Dakika ya 90+3
Na wao tumewapa Maumivu ya Kimoko 🤩🤩
20241030_222735.jpg
 
naona picha ya beki kitasa Ibrahim bacca koplo, jamaa injury record yake iko imara sana

Huyu jamaa bacca kama analipwa chini ya 15M kwa mwezi atakua mjinga sana, kiwango kikija kushuka mashabiki na club hawawezi kukukumbuka tena financially....

Kuna mahali niliwahi kuona(nadhani itakua uongo) kipindi iko bacca hajasign mkataba mpya kua analipwa 1M kwa mwezi, mzize 4M, Morrison 17M na herith makambo 10M aisee niliskia kutapika
 
Nyie Kolo wambea
 
Yanga vs singinda BS inachezwa Zanzibar ila simba vs singinda BS match itachezwa singinda inafikirisha kidogo
Inafikirisha nini sasa hapo Comrade! Huo ni uamuzi tu wa timu husika, kutokana na kanuni kuwaruhusu kufanya hivyo.

Hata simba inaruhusiwa kwenda kucheza mechi mbili kwenye uwanja tofauti na ule wa nyumbani. Mfano kwenye ile mechi ya juzi na Yanga, alikuwa na uwezo wa kupeleka huko Singida ili akalipe kisasi! Ila kwa tamaa yake ya kutaka mapato makubwa, akakubali kufia kwa Mkapa kama hivi anavyofanya Singida Black Stars.
 
naona picha ya beki kitasa Ibrahim bacca koplo, jamaa injury record yake iko imara sana

Huyu jamaa bacca kama analipwa chini ya 15M kwa mwezi atakua mjinga sana, kiwango kikija kushuka mashabiki na club hawawezi kukukumbuka tena financially....

Kuna mahali niliwahi kuona(nadhani itakua uongo) kipindi iko bacca hajasign mkataba mpya kua analipwa 1M kwa mwezi, mzize 4M, Morrison 17M na herith makambo 10M aisee niliskia kutapika
Haya umeshamaliza kujadili mishahara ya akina Bacca! Unaonaje sasa tukajadili pia kuhusu mshahara wako na pia wa mfanyakazi wako wa ndani kama unaye?
 
Back
Top Bottom