FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

naona picha ya beki kitasa Ibrahim bacca koplo, jamaa injury record yake iko imara sana

Huyu jamaa bacca kama analipwa chini ya 15M kwa mwezi atakua mjinga sana, kiwango kikija kushuka mashabiki na club hawawezi kukukumbuka tena financially....

Kuna mahali niliwahi kuona(nadhani itakua uongo) kipindi iko bacca hajasign mkataba mpya kua analipwa 1M kwa mwezi, mzize 4M, Morrison 17M na herith makambo 10M aisee niliskia kutapika
Itakuwa ni kweli, maana wakati wanamchukua hakuwa anajulikana na watu walimbeza. Ila aliyemuona na kumpendekeza ashukuriwe sana.
 
Mechi kama hii ilipaswa kuwa na mvuto wa Hali ya juu na kuwa kama Moja ya battle za kutazamwa sana kwenye ligi hii... Lakini kutokana na mambo yetu ya uswahilini uswahili sijui mara tawi mara bahasha, si ajabu ikawa ni vituko tu.
 
Hii game Yanga atashinda na mpira utapigwa mkubwa sana na baada ya hapo zitaenezwa stori ohhh Singida ni tawi... [emoji1]

Singida 0 Yanga 3
 
Mmmh hii mechi Kuna team kubwa hapo italiwa kichwa .
Ni na wasisi na yanga Leo akijitahidi sana basi droo.
 
Back
Top Bottom