Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Wamekwishayamaliza kimilaHUU MCHEZO UNGEKUWA HALISI INGEKUWA MECHI NZURI SANA.
Nasikia ndugu hawa tayari wamekutana mazoezini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekwishayamaliza kimilaHUU MCHEZO UNGEKUWA HALISI INGEKUWA MECHI NZURI SANA.
Nasikia ndugu hawa tayari wamekutana mazoezini.
Kwa maelezo haya ndio maana rage alikuwa sahihiHawa wangepeana point za mezani kuliko kusumbua watu waache kulala waangalie hii futuhi wakati matokeo yanajulikana
Yanga A Vs Yanga B⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC
📆 30.10.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 8:30 PM
View attachment 3138679
Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars SCView attachment 3139371
😃😀😀😀😀😀 Wameisha 😃😀Baaaaaasiiiii wameishaaa..planned..
Astaghafirullah 😃😀😀😀😀😀😀😃😃Yanga A Vs Yanga B
Kaka Leo mnafungwa⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC
📆 30.10.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 8:30 PM
View attachment 3138679
Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars SCView attachment 3139371
Mwanetu Kibwana ndo kazini kwake kuna kazi.....dah.⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC
📆 30.10.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 8:30 PM
View attachment 3138679
Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars SCView attachment 3139371
Haiwezekani kaka 😀😃😃😃😃😃Kaka Leo mnafungwa
😀😃😃😃Leo kuna penati