FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Inafikirisha nini sasa hapo Comrade! Huo ni uamuzi tu wa timu husika, kutokana na kanuni kuwaruhusu kufanya hivyo.

Hata simba inaruhusiwa kwenda kucheza mechi mbili kwenye uwanja tofauti na ule wa nyumbani. Mfano kwenye ile mechi ya juzi na Yanga, alikuwa na uwezo wa kupeleka huko Singida ili akalipe kisasi! Ila kwa tamaa yake ya kutaka mapato makubwa, akakubali kufia kwa Mkapa kama hivi anavyofanya Singida Black Stars.
Una maneno wewe
 
IMG-20241030-WA0005.jpg
 
Ila we jamaa bwana ila tunaomba kisiwepo na makosa ya kibinadamu
 
Back
Top Bottom