FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Young_Africans_SC_(logo).png
 
Hawa wangepeana point za mezani kuliko kusumbua watu waache kulala waangalie hii futuhi wakati matokeo yanajulikana
 
Kuna watu walishindwa kuifunga Yanga, eti leo wanategemea Singida iwasaidie,hizi akili au matope
Hiyo timu ina maana unakiri kuwa ni bora kuliko singida? Pia inaonekana kuwa ni bora zaidi kuliko Yanga na ndiyo maana Yanga inaona fahari kuifunga🙂😛
 
HUU MCHEZO UNGEKUWA HALISI INGEKUWA MECHI NZURI SANA.

Nasikia ndugu hawa tayari wamekutana mazoezini.
Simba....MBUMBUMBU
Azam.....mbumbumbu
coastal....MBUMBUMBU
namungo....mbumbumbu
Mtibwa....mbumbumbu
N.k
 
Mashabiki wa Lunyasi hawajui wanataka nini...
YANGA ikifungwa watasema Imeshuka ubora
Ikishinda Moja watasema papatu papatu
Ikishinda 3 - 5 wamecheza Mwigulu & Nchemba

😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom