FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Gamondi kawaka mamamaeeeeee 😀😃😃😃😃😃😃😃😃😀😃😃
 
Mambo gani haya? Makocha wanakaribia kula umeme, dah!
 
Mashabiki wa Simba wanaamini kwenye nafsi zao kuwa Yanga na hawa Singida ni ndugu ila kinachoonekana hapa ni vita uwanjani. Kwanzia wachezaji uwanjani hadi mabenchi ya ufundi.
 
Kuna nyekundu inatafutwa kweli.
 
Back
Top Bottom