FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Hii mechi nyie wenyewe watoto wa mwigulu mtajua wenyewe mmeongea nani ashinde...
 
⚽️ Singida BS🆚Young Africans SC
📆 30.10.2024
🏟 New Amaan Complex
🕖 8:30 PM
View attachment 3138679
Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc
View attachment 3139371
Mpira umeanza
Dakika ya 2
Sbs 0- 0 yng

Dakika ya 3
Boka amefanyiwa madhambi

Dakika 6
Mabadiliko katoka boka kaingia kibabage

Dakika ya 15
Yanga wanafanya mashambulizi

Dakika ya 16
Yanga wanapata Kona hapa

Dakika ya 20
Sbs 0-0 yng
Kama kuna Mtu anadhani kuwa Yanga SC leo (katika hii Mechi dhidi ya Ndugu zao) ama atatoka Sare au Suluhu au atafungwa huyo si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom