Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ni zuga...kila kitu kipo calculatedWatu wanacheza kama wapalestina Hawa ila tukishinda utasikia hili tawi la yanga
Shenzi
Mtaachaje kushinda na wakati mpo 12 uwanjani dhidi ya wapinzani wenu??najua moyoni unatamani iwe hivi ila singida atapigwa tu kama alivyo pigwa nyau
Huyu mkimfunga 5 mtasheherekea kwa masupu na mabango?huu ndo mpira sasa ndo inafaa kuitwa mpinzani wa yanga achana na nyau
Yanga hatuiogopiHamkosagi maneno,yanga mnaiogopa, mnajua muda wowote mtu anaachia bomba
Kama makolo walivyopata point kwa namungo
Bado hamjasemaa[emoji23]Mmeshinda mmeshindishwa?
Kama nyie mlivyocheza na dada yenu uwanja huo huo,huku refa wenu akawapa goli mbili za offside.Mtu na dada yake wanacheza chumbani
Hata waliojifunga ilikua zuga tuhiyo ni zuga...kipa kitu kipo calculated