FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Wana ubaya ubwela laleni tuu...waacheni ndugu wayamalize...
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Mpira ni Kiwango , sio kusajili sajili wachezaji weeengi ukifikiri ndio Ushindi 🤣🤣🤣🤣

Makolo mmesajili wachezaji karibu 100 halafu hamna kitu🤣🤣🤣
Hapana.

Uhalisia unaonesha unapingana na kauli yako.

Mpira ni uwekezaji.

Na huo uwekezaji sio kwenye usajili kama wengi wanavyodhani. Ni uwekezaji wa nje ya uwanja katika kuamua matokeo.
 
kuna refa katolewa ngeu kasizi chini lango la kuingila uwanja, ni uchebe au gamo ??
 
Aliyeelewa huo ugomvi kwenye Tunnel hadi mmoja wa Kocha kwenye Benchi la Ufundi la SBS kupigwa hadi kuanguka nini?

Yanga Vs SBS
 
Hapana.

Uhalisia unaonesha unapingana na kauli yako.

Mpira ni uwekezaji.

Na huo uwekezaji sio kwenye usajili kama wengi wanavyodhani. Ni uwekezaji wa nje ya uwanja katika kuamua matokeo.
Hapana, hizo ni Rumuors ndio maana nimekutaka uweke ushahidi na hujaweka kwasababu huna, umejitungia tu maneno 🤣

Kama una ushahidi wa bahasha kutolewa weka hapa

Kingine, Usajili wa Wachezaji ni sehemu ya uwekezaji wa timu
 
Ni half time , ni mda wa kuelewana na kuafikiana dau ifikiwe,Singida wajanja sana wametikisa ili dau lifikiwe,utaona red card ya kujitafutia
hii gemu kipindi cha pili kutakuwa na penalt nimekaa pale huku nikisubiri red card
 
Sasa kwanini msishinde wakati mnahong marefa, Simba ilifungwa kwa ajili ya Yanga kuhonga marefa
Kama wenzenu wanahonga na kushinda mechi, kwa nini na nyinyi msifanye hivyo? Au hamna hela za kuhongea ili tuwakopeshe?
 
Ni half time , ni mda wa kuelewana na kuafikiana dau ifikiwe,Singida wajanja sana wametikisa ili dau lifikiwe,utaona red card ya kujitafutia
Wacha maneno
20241015_110347.jpg
 
Back
Top Bottom