FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Mkicheza na Simba huwa mna kitete kuanzia kupitia milango isiyo rasmi mpk kuhonga marefa...
Kolo nyamaza, ndio maana nimemtaka Scars aweke ushahidi wa bahasha hapa

Nakuomba nawewe uweke ushahidi wa hongo, alihongwa refa yupi kwa shilingi ngapi? 🤣🤣🤣🤣
 
Mpaka sana Mwigulu 0-Mchemba 0
Yanga wasipopewa tuta nipigwe ban ya mwezi.
Ngoja tuhifadhi hii "comment" yako! Moderators "comment" hii iwekwe kwenye jalada la kumbukumbu za wanaoomba kupigwa ban, ili wakati ukifika mhusika apewe haki yake aliyoiomba mwenyewe, bila kupepesa macho.
 
Nimeona mtu akigaagaa chini kwenye lango la kuingia uwanjani nini kimetokea?

USSR
Kulizuka ugomvi mkubwa kwenye lango ni muendelezo wa ugomvi wa mbenchi walipokuwa uwanjani, kwenye vurumai kuna moja kapigwa pigo zito
 
Pale utopolo wanapojipa hati miliki ya kuwa mabingww na kuiweka Simba nafasi ya tatu...kweli nyie hamnazo...
Mazuzu pro Max...
Sio tumewaweka nafasi ya tatu, ubovu wenu ndio umewaweka hapo. Na hata iyo nafasi ya tatu nayo mnapaswa kuipambania sana..
Ubaya ubwela[emoji23][emoji23]
 
Ngoja tuhifadhi hii "comment" yako! Moderators "comment" hii iwekwe kwenye jalada la kumbukumbu za wanaoomba kupigwa ban, ili wakati ukifika mhusika apewe haki yake aliyoiomba mwenyewe, bila kupepesa macho.
Tuta lazima iwepo bahasha inaruhusu
 
Kolo mmesajili wachezaji 50 halafu matokeo ndiyo yale ya kupigwa kila mara...4 x 4 🤣🤣🤣
Utopo acha kujitekenya na kucheka mwenyewe..naona unajipa moyo kwa kucheka huku unaumia..kikosi kinakupa stress...sajilini na nyinyi..yani kipimo cha wachezaji wa simba unataka kukipima kwa kucheza na utopolo ya kayoko??? 🤔🤔
 
Hii inafaa kuitwa Daby sasa, kidooogo wametushughulisha
 
Kuja kwako kuna tatizo gani? Nikiendelea na wote wawili kuna tatizo?
Jibu nikikuqoute sasa mbona kama unadandia tren kwa mbele...ww umemqoute mwingine unajibu kwangu...
 
Utopo acha kujitekenya na kucheka mwenyewe..naona unajipa moyo kwa kucheka huku unaumia..kikosi kinakupa stress...sajilini na nyinyi..yani kipimo cha wachezaji wa simba unataka kukipima kwa kucheza na utopolo ya kayoko??? 🤔🤔
Unachekesha umati, hasa wenye akili timamu

Yaani nikupige mara 4 mfululizo, nichukue makombe mfululize halafu nipate stress

Nikufunge kila siku then nipate Stress???🤣🤣🤣

Halafu Makolo wa kufungwa muwe na nini, Depression?

Usirudie kuandika hivyo utatushangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…