Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hujaelewa mantiki ya kuquote, punguza jazba twende taaratibu KoloJibu nikikuqoute sasa mbona kama unadandia tren kwa mbele...ww umemqoute mwingine unajibu kwangu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa mantiki ya kuquote, punguza jazba twende taaratibu KoloJibu nikikuqoute sasa mbona kama unadandia tren kwa mbele...ww umemqoute mwingine unajibu kwangu...
Hii inafaa kuitwa Daby sasa, kidooogo wametushughulisha
Wewe haututishi bana labda muwatishe pamba jiji....huna kitu kipya...kama kuchukua makombe mara 4 Mnyama amechukua...una jipya labda?Unachekesha umati, hasa wenye akili timamu
Yaani nikupige mara 4 mfululizo, nichukue makombe mfululize halafu nipate stress
Nikufunge kila siku then nipate Stress???🤣🤣🤣
Halafu Makolo wa kufungwa muwe na nini, Depression?
Usirudie kuandika hivyo utatushangaza
Jibu ukiniquote kivipi?Jibu nikikuqoute sasa mbona kama unadandia tren kwa mbele...ww umemqoute mwingine unajibu kwangu...
Yeap, Daby inayoleta ushindani🤣🤣🤣Daby Ya Wanandugu..!
Sawa Sawa Kbs..!
Topolo nina haraka huo muda wa kwenda taratibu sina....Hujaelewa mantiki ya kuquote, punguza jazba twende taaratibu Kolo
Ninyi hamtakaa muifunge Yanga mara 4 mfululizo....🤣🤣🤣Wewe haututishi bana labda muwatishe pamba jiji....huna kitu kipya...kama kuchukua makombe mara 4 Mnyama amechukua...una jipya labda?
Kwa sbb mpira ni wa babu yako...😄Ninyi hamtakaa muifunge Yanga mara 4 mfululizo....🤣🤣🤣
Napenda hiyo kasi,Topolo nina haraka huo muda wa kwenda taratibu sina....
Hahaha....mpira ni wa wote sio Babu yangu tu, hata Bibi yako...Football is the game for AllKwa sbb mpira ni wa babu yako...😄
Wamepaniki Hawa soon wanapigwahawa jamaa wapumbavu wanagongana wao alafu wanamlaumu refa
Wewe haututishi bana labda muwatishe pamba jiji....huna kitu kipya...kama kuchukua makombe mara 4 Mnyama amechukua...una jipya labda?
Jibu ukiniquote kivipi?
Yeap, Daby inayoleta ushindani🤣🤣🤣
wapumbavu sana, walitaka sema yanga amebebwaWamegongana wenyewe wanamlaumu refa😃😀😀
Unaongea kama unatapika zuzu wa kiutopolo...😊😊 nadhani wana football wabobevu wanakushangaa...Hahaha....mpira ni wa wote sio Babu yangu tu, hata Bibi yako...Football is the game for All
Lakini KAMWE HAMUWEZI kuifubga Yanga mara 4 mfululizo
Hamna huo uwezo Makolo🤣🤣🤣
Hahaha, wanafootball ndio kina sisi...tunaufahamu mpira...turudi kwny mada Kolo,Unaongea kama unatapika zuzu wa kiutopolo...😊😊 nadhani wana football wabobevu wanakushangaa...
Wanafootball hamuwezi kuwa ninyi Koloz, NEVERUnaongea kama unatapika zuzu wa kiutopolo...😊😊 nadhani wana football wabobevu wanakushangaa...