FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Unachekesha umati, hasa wenye akili timamu

Yaani nikupige mara 4 mfululizo, nichukue makombe mfululize halafu nipate stress

Nikufunge kila siku then nipate Stress???🤣🤣🤣

Halafu Makolo wa kufungwa muwe na nini, Depression?

Usirudie kuandika hivyo utatushangaza
Wewe haututishi bana labda muwatishe pamba jiji....huna kitu kipya...kama kuchukua makombe mara 4 Mnyama amechukua...una jipya labda?
 
Ninyi hamtakaa muifunge Yanga mara 4 mfululizo....🤣🤣🤣
 
Kwa sbb mpira ni wa babu yako...😄
Hahaha....mpira ni wa wote sio Babu yangu tu, hata Bibi yako...Football is the game for All

Lakini KAMWE HAMUWEZI kuifubga Yanga mara 4 mfululizo

Hamna huo uwezo Makolo🤣🤣🤣
 
Wewe haututishi bana labda muwatishe pamba jiji....huna kitu kipya...kama kuchukua makombe mara 4 Mnyama amechukua...una jipya labda?
download (16).jpeg
 
Hahaha....mpira ni wa wote sio Babu yangu tu, hata Bibi yako...Football is the game for All

Lakini KAMWE HAMUWEZI kuifubga Yanga mara 4 mfululizo

Hamna huo uwezo Makolo🤣🤣🤣
Unaongea kama unatapika zuzu wa kiutopolo...😊😊 nadhani wana football wabobevu wanakushangaa...
 
Hahaha, wanafootball ndio kina sisi...tunaufahamu mpira...turudi kwny mada Kolo,

Ninyi hamna uwezo wa kutufunga mara 4 mfululizo na hamtakuwa nao, hata mkirogea juu ya bahari

Sawa Kolo? 😅
 
Back
Top Bottom