FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Wewe haututishi bana labda muwatishe pamba jiji....huna kitu kipya...kama kuchukua makombe mara 4 Mnyama amechukua...una jipya labda?
 
Wewe haututishi bana labda muwatishe pamba jiji....huna kitu kipya...kama kuchukua makombe mara 4 Mnyama amechukua...una jipya labda?
Ninyi hamtakaa muifunge Yanga mara 4 mfululizo....🤣🤣🤣
 
Kwa sbb mpira ni wa babu yako...😄
Hahaha....mpira ni wa wote sio Babu yangu tu, hata Bibi yako...Football is the game for All

Lakini KAMWE HAMUWEZI kuifubga Yanga mara 4 mfululizo

Hamna huo uwezo Makolo🤣🤣🤣
 
Hahaha....mpira ni wa wote sio Babu yangu tu, hata Bibi yako...Football is the game for All

Lakini KAMWE HAMUWEZI kuifubga Yanga mara 4 mfululizo

Hamna huo uwezo Makolo🤣🤣🤣
Unaongea kama unatapika zuzu wa kiutopolo...😊😊 nadhani wana football wabobevu wanakushangaa...
 
Unaongea kama unatapika zuzu wa kiutopolo...😊😊 nadhani wana football wabobevu wanakushangaa...
Hahaha, wanafootball ndio kina sisi...tunaufahamu mpira...turudi kwny mada Kolo,

Ninyi hamna uwezo wa kutufunga mara 4 mfululizo na hamtakuwa nao, hata mkirogea juu ya bahari

Sawa Kolo? 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…