Kwa sababu mna marefa zenu mmewaweka mfukoni si ndio?? Kama ndivyo basi endeleeni kubanjuka...ipo siku yenuHahaha, wanafootball ndio kina sisi...tunaufahamu mpira...turudi kwny mada Kolo,
Ninyi hamna uwezo wa kutufunga mara 4 mfululizo na hamtakuwa nao, hata mkirogea juu ya bahari
Sawa Kolo? 😅
Tunakushangaa wewe unayeshambulia wazazi wake kwenye mambo ya kiutani wa Jadi...Unaongea kama unatapika zuzu wa kiutopolo...😊😊 nadhani wana football wabobevu wanakushangaa...
Wazazi wake wapi?? Hebu tuache tunataniana sisi naona unataka kuleta vitu personal...Tunakushangaa wewe unayeshambulia wazazi wake kwenye mambo ya kiutani wa Jadi...
Hahaha...wafa maji hawaachi kutapatapaKwa sababu mna marefa zenu mmewaweka mfukoni si ndio?? Kama ndivyo basi endeleeni kubanjuka...ipo siku yenu
Utopwox...gongowaz
Wataje marefa zetu Yanga basWazazi wake wapi?? Hebu tuache tunataniana sisi naona unataka kuleta vitu personal...
Kusema mpira wa babu yake..
Munabishana na wanawake unategemea nini?Tunakushangaa wewe unayeshambulia wazazi wake kwenye mambo ya kiutani wa Jadi...
unaona jambo dogo hilo?Wazazi wake wapi?? Hebu tuache tunataniana sisi naona unataka kuleta vitu personal...
Kusema mpira wa babu yake..
Jibu hoja zake, acha hayo mambo.Munabishana na wanawake unategemea nini?
Mechi umeiona ndo uziri wa mpira wa wazii.Utopolox