FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Gamondi kawaka mamamaeeeeee [emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji2][emoji2]
Hyo kocha wa yanga kila mechi anawaka sema waamuzi wanambeba tu ila alitakiwa kila mechi ale njano maana wanadeka sana.
 
Hii mechi nyie wenyewe watoto wa mwigulu mtajua wenyewe mmeongea nani ashinde...
 
Kama kuna Mtu anadhani kuwa Yanga SC leo (katika hii Mechi dhidi ya Ndugu zao) ama atatoka Sare au Suluhu au atafungwa huyo si tu ni Mpumbavu bali pia ni Mwendawazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…