Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Moja bila ,MOODS badilisheni ubao hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo tulivyo kyambia etyPacome akiondoka Yanga nitahuzunika sana!
Hata mayele aliondokPacome akiondoka Yanga nitahuzunika sana!
Hahahahaha unanichekesha...unaona jambo dogo hilo?
onesha uungwana kwa kukiri kosa! hukupaswa kufanya hivyo
Naona tayariiii...Pacome akiondoka Yanga nitahuzunika sana!
Sikuhuzika hata.Hata mayele aliondok
Haya utopolo....Hayaa, nakuaga na hilo goli dume la Pacome....., kesho Kolo
Wakala wake kaja leo, muda huu nae yupo huko Zanzibar anachek mechi. Kuna uwezekano PACOME na YAO wakaongeza mikataba yaoPacome akiondoka Yanga nitahuzunika sana!
Huyu atafute Mganga...Dube na magoli kwani wana ugomvi?
Nalifuatilia hilo kwa ukaribu...Wakala wake kaja leo, muda huu nae yupo huko Zanzibar anachek mechi. Kuna uwezekano PACOME na YAO wakaongeza mikataba yao
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kapigwa kipapai..Dube na magoli kwani wana ugomvi?