FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

Wenzao yanga wanapata nafasi ila anabutua nje. 0-1 dk 80
 
Jamani alamsiki...nilijua tuu Utopwox hawawezi kukubali..maana walishaongea wakayamaliza😃😃😃
Kileleni kwema...
 
Mwigulu Vs Nchemba game ngumu sana kwa Waziri wa Fedha.Mqpenzi vs Ujasiri Mali.
Double personalities zinagongana.Mara nyingi Mapenzi huwa yanashinda.
 
Makolo hawana uwezo wa kucheza na Singida BS

Watapigwa mpaka watapike, wale wamesajili wachezaji 50 lakini wote wanaruka ruka tu uwanjani [emoji1787][emoji1787][emoji3059]
Lini walikua wanaruka uwanjani..
 
Back
Top Bottom