Baby Alone
New Member
- Jan 8, 2024
- 4
- 4
Labda mshinde njaaNi kweli lakini hii game tunashinda
Kushinda musha shinda, si tangu asbuh mpaka mida hii mupo hapa? ama unazungumzia kushinda kupi huko mkuu?Ni kweli lakini hii game tunashinda
Chama yupi unamzungumziaChama anaitizama hii mechi halafu anacheka kwanj anajua hakuna wa kumuweka benchi.
huoni babu anajiangusha tu, faulo hazina kichwa wala miguuSimba anabebwa vipi?
Nilisema mimiKisasi ni haki. Simba kwa sasa mtatusamehe labda tupunguze tu idadi ila leo kuna mgoli wa Rupia
tena kwa penatiWakufunga hahopo Moses Phiri
Kweli kabisaNilisema mimi
Anaye cheza Singida................Chama yupi unamzungumzia
Hakuna sababu yakuwaacha.Kiukweli tungewaacha singida waende fainali maana wameonyesha kuitaka kuliko Simba.
Labda CCMAnaye cheza Singida................
🤣🤣🤣 Kufunga Singida FGKushinda musha shinda, si tangu asbuh mpaka mida hii mupo hapa? ama unazungumzia kushinda kupi huko mkuu?
73'Kwani dakika ya ngapi