HahahaaaaaDah sijui nicomment kuhusu goli gani yote ya moto
Na hatutaki kupewa penaltyKudadadekiiiiii hii yanga hii πππ
Ni koloHivi waliopo zamu Leo hapa Jamii Forum ni Nani? Mbona live score inasema moja wakati Tatu bila?
Admin sijui Mod badirisha ubao
Ongezea na Ihefu ya Mbarali na Kagera shuga hizi zote ni za Asia πAzam ni wa Asia siyo
Sawa mkuu.Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
Tukamsalimie Mwasibu wetu kwa kweliπππππ
Na mi nakuonaNakuona
Wamesikia hahaha π€£ π€£ π€£ π€£ itakuwa kweli kolo , wamebadiliNi kolo