joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ngoja tuendelea kukumbushana na uzuri umejitukana mwenyewe.Mjinga hukumbushia yaliyopita, mwelevu huyatazama yaliyo mbele.
Haya tulio wajinga tuendelee kukumbushana yaliyopita.
Hata hiyo hamjawahi kulipa zile 6 ilizowapiga, hizo 5 mlizopiga ingekuwa heri mngeongeza na 1 ili mlipe deni.
Jutahidi tarehe 20 mlipe deni enyi Amphibians.
Mjinga siku zote hukumbushia yaliyopita.