FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Kwani hujui mie ni Uto?

Nilizikumbuka kwa sababu mie ni mjinga na ni Uto og.

Mjinga hukumbushia yaliyopita, mwelevu huyatazama yaliyo mbele.
Mbona unajistukia kama unakata Gogo nje na kwa hali mliyokuwa nayo unahaki kuwakataa Kolo FC.

Uzuri JF unatunza risiti au hii Comment mtoto alichezea simu au uliandikiwa.

Hata hiyo hamjawahi kulipa zile 6 ilizowapiga, hizo 5 mlizopiga ingekuwa heri mngeongeza na 1 ili mlipe deni.

Jutahidi tarehe 20 mlipe deni enyi Amphibians.

Kwa hiyo kwa mujibu wa Comment yako wewe ni Mjinga,maana Sita umezikumbuka ila tano huzikumbuki.
 
Mjinga hukumbushia yaliyopita, mwelevu huyatazama yaliyo mbele.

Tuendelee kukumbushans yaliyopita mjinga mwenzangu.
So kwa hii Comment yako ya hapo chini unakiri mwenyewe wewe ni MJINGA.
Hata hiyo hamjawahi kulipa zile 6 ilizowapiga, hizo 5 mlizopiga ingekuwa heri mngeongeza na 1 ili mlipe deni.

Jutahidi tarehe 20 mlipe deni enyi Amphibians.
 
Mzize Leo Kakiwasha Kama Musonda Game Ya Mwisho Na Mamelod.

Huyu Jamaa Mzize Tetesi Za Kuanza Kuwindwa Na Vilabu Vya Nje Imemuongezea Spirit Sana.

Mzize Namuona Mbali Akiendelea Hivi[emoji91][emoji91][emoji91]
Tunataka atulie ivyoivyo aache mapepe maana leo black n' white([emoji460])limetii miguuni mwake
 
Utamuelewa tu Gamondi aliposema anamuamini Mzinze na kumpa nafasi Kwa sababu ni future generation na asset ya Tanzania.

Denis Nkane umbo litakuwa ndio linamuangusha kuaminiwa na Gamondi mbele, Mzinze ana body nzuri Kwa striker, naamini kamwili Ka Denis Nkane ndio kanamyima fursa ya kuaminiwa maana striker licha ya akili na maguvu nayo yana nafasi yake.
Nkane anapaswa aongeze mbio ili awe kama Uncle Enjoy ball(Ngassa)
 
Yes sisi ni wajinga na ndio maana tunakumbushana yaliyopita, tuendelee tu na ujinga wetu.
Tuendelee kukumbushana yaliyopita mjinga mwenzangu.
Ngoja tuendelea kukumbushana na uzuri umejitukana mwenyewe.
Hata hiyo hamjawahi kulipa zile 6 ilizowapiga, hizo 5 mlizopiga ingekuwa heri mngeongeza na 1 ili mlipe deni.

Jutahidi tarehe 20 mlipe deni enyi Amphibians.
Mjinga siku zote hukumbushia yaliyopita.
 
Yanga hamna Warembo!? Mimi umeshawahi kuniona?
Hapa jf warembo wote ni Yanga Mahondaw, Lamomy Shadeeya
Halafu mashabiki wa Simba ndio mna Cocastic🤣
Kwamba coca sio pis kali
 
Back
Top Bottom