Na kwa sasa hao Yanga wanawaonea akina nani?Shirikisho hamna kitu, Ndio Yanga walidondokea huko wakawa wanawaonea vilaza akina Marumo wakajiona wanawezaaaa
Mpira haupo hivyo Jombaa. Singida alikuwa tayari kampa mtu 4 mchezo wa awali ulifikiri mechi ya marudiano angetumia nguvu? Michuano hii ni mbinu tu sio marathon kama ligi za ndani.Singida hawa hawa walioponea chupu chupu kutolewa na JKU ya Zanzibar?
Yanga haijavuka bado, ikifanikiwa kuingia makundi ya klabu bingwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25 ndio tutajadili hili swali lakoNa kwa sasa hao Yanga wanawaonea akina nani?
Hakuna timu makini inayoruhusu kufungwa kijinga kiasi cha kuponea kwa goli moja tu itolewe, ni timu maandazi tu na mashabiki maandazi tu ndio watatetea timu kama hizoMpira haupo hivyo Jombaa. Singida alikuwa tayari kampa mtu 4 mchezo wa awali ulifikiri mechi ya marudiano angetumia nguvu? Michuano hii ni mbinu tu sio marathon kama ligi za ndani.
Kina wakimbizi...hahahaNa kwa sasa hao Yanga wanawaonea akina nani?
Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza
Simba kadondokea mara ngapi na akafika hatua gani wewe kafiri?Shirikisho hamna kitu, Ndio Yanga walidondokea huko wakawa wanawaonea vilaza akina Marumo wakajiona wanawezaaaa
Naombeni link ya kucheck hii game
Kapimwe akiliTulijitoa kimkakati, hayakuwa mashindano ya hadhi yetu...Ni kama Madrid iangukie Europa league, inajitoa kimkakati tu maana ni aibu kwao kucheza mashindano ya aina hiyo
Kuna Mchezaji ukiwa naye hata makundi mtaishia kuyasikia tu. Taifa Stars yenyewe ilistuka mapema.Hapa bongo katuabisha yule mpumbavu mmoja Azam Fc, nilitamani sana kuona tukiingiza timu 4 makundi michuano ya CAF (Confederation & Champions league).
Mchezaji yupi?πππKuna Mchezaji ukiwa naye hata makundi mtaishia kuyasikia tu. Taifa Stars yenyewe ilistuka mapema.
Unataka nimtaje ili waje wanipopoe, halafu nizuiwe kuingia Zanzubar na nikatazwe kupanda boti za Azam?πMchezaji yupi?πππ
Kujiondoa kimkakati mkaroga kwa kuwasha moto mpaka mkaharibu uwanja na mkalimwa faini na caf!Tulijitoa kimkakati, hayakuwa mashindano ya hadhi yetu...Ni kama Madrid iangukie Europa league, inajitoa kimkakati tu maana ni aibu kwao kucheza mashindano ya aina hiyo
Mwakani Taifa Stars inacheza AFCON ukiwa na vilabu vingi vya ndani ktk michuano ya kimataifa inawajengea kujiamini pamoja na uzoefu wachezaji wetu, mwisho siku kocha mkuu wa timu ya taifa na safu yake wanakuwa na kapu kubwa la kuchagua kikosi.Kuna Mchezaji ukiwa naye hata makundi mtaishia kuyasikia tu. Taifa Stars yenyewe ilistuka mapema.
Hivi hizi akili mnazitoa wapi? unawezaje kudharau mashindano ambayo hauja wahi kuchukua kombe, na umeshiriki mara kadhaa? huu ni msimu wa pili mfurulizo bingwa wa super cup anatoka shirikisho mbona hua hamkui nyie?Kwa Jinsi ilivyo huku Shirikisho.... Timu za Simba au Yanga kudondokea huku ilikuwa ni Kuzionea timu hasa zilizokuwa zinapambana huku tokea mwanzo..!
Kwa jinsi ulivyo-comment hapa inaonekana bado sana kuuelewa mpira vizuri. Mechi zozote zile zinazohusisha mtoano huwa approach za waalimu wengi wa mpira zinabadilika kabisa tofauti na ligi.Hakuna timu makini inayoruhusu kufungwa kijinga kiasi cha kuponea kwa goli moja tu itolewe, ni timu maandazi tu na mashabiki maandazi tu ndio watatetea timu kama hizo
π©π©π©Kwa jinsi ulivyo-comment hapa inaonekana bado sana kuuelewa mpira vizuri. Mechi zozote zile zinazohusisha mtoano huwa approach za waalimu wengi wa mpira zinabadilika kabisa tofauti na ligi.
Jaribu kufanya observation kwa timu kama Al Ahly inayofanya vizuri sana michuano ya CAF huwa kuna muda anapita ktk kundi lake mechi ya mwisho kabisa na anaenda kuwa bingwa hata wakati mwingine huwa anasurika kutoka ktk 2nd round qualifying stage.
Mamelodi msimu wa 2015/2016 alitolewa 2nd round As Vita ila alirejeshwa baada ya As Vita kumchezesha mchezaji ambaye alikuwa hajasajiriwa, baada ya hapo Mamelodi wakaenda kubeba ligi ya mabingwa moja kwa moja.
Michuano hii huwa mechi ya kwanza ndio inayo-control tempo ya mechi ya pili, mara nyingi anayehitaji matokeo ndiye atajilipua mchezo wa marudiano. Unafikiri kuna ulazima wa kufunguka wakati umeshinda goli 4 mchezo wa kwanza?
Unajua kua bingwa washirikisho us Algers kamfunga bingwa la caf nakutwaa ndooShirikisho hamna kitu, Ndio Yanga walidondokea huko wakawa wanawaonea vilaza akina Marumo wakajiona wanawezaaaa