FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

FT: Singida Fountain Gate 1-0 Future FC: Azam Complex Chamazi

Kwa ushindi huu mwembamba, wakapambane sana kwenye mechi ya marudiano. Na wasisahahu fitna zote duniani, zimezaliwa Uarabuni.
 
Singida hawa hawa walioponea chupu chupu kutolewa na JKU ya Zanzibar?
Mpira haupo hivyo Jombaa. Singida alikuwa tayari kampa mtu 4 mchezo wa awali ulifikiri mechi ya marudiano angetumia nguvu? Michuano hii ni mbinu tu sio marathon kama ligi za ndani.
 
Mpira haupo hivyo Jombaa. Singida alikuwa tayari kampa mtu 4 mchezo wa awali ulifikiri mechi ya marudiano angetumia nguvu? Michuano hii ni mbinu tu sio marathon kama ligi za ndani.
Hakuna timu makini inayoruhusu kufungwa kijinga kiasi cha kuponea kwa goli moja tu itolewe, ni timu maandazi tu na mashabiki maandazi tu ndio watatetea timu kama hizo
 
Kombe La Shirikisho la CAF mkondo Wa Kwanza

Goli la Rupia wa Singida Big Stars vs Modern Future FC ya Egypt lawa gumzo Uarabuni.

View: https://m.youtube.com/watch?v=mdtaWxoPLU0

TV yafanya uchambuzi wa kina umahiri wa Singida Big Stars mithili ya kipindi cha Azam Sports TV kipenga cha mwisho kwa kurudi kutizama clips za mchezo huo wa leo jijini Dar es Salaam na kuipa maua Sinhida Big Stars.
 
Hapa bongo katuabisha yule mpumbavu mmoja Azam Fc, nilitamani sana kuona tukiingiza timu 4 makundi michuano ya CAF (Confederation & Champions league).
Kuna Mchezaji ukiwa naye hata makundi mtaishia kuyasikia tu. Taifa Stars yenyewe ilistuka mapema.
 
Tulijitoa kimkakati, hayakuwa mashindano ya hadhi yetu...Ni kama Madrid iangukie Europa league, inajitoa kimkakati tu maana ni aibu kwao kucheza mashindano ya aina hiyo
Kujiondoa kimkakati mkaroga kwa kuwasha moto mpaka mkaharibu uwanja na mkalimwa faini na caf!
Ndio ulikuwa mkakati huo?
 
Kuna Mchezaji ukiwa naye hata makundi mtaishia kuyasikia tu. Taifa Stars yenyewe ilistuka mapema.
Mwakani Taifa Stars inacheza AFCON ukiwa na vilabu vingi vya ndani ktk michuano ya kimataifa inawajengea kujiamini pamoja na uzoefu wachezaji wetu, mwisho siku kocha mkuu wa timu ya taifa na safu yake wanakuwa na kapu kubwa la kuchagua kikosi.
 
Kwa Jinsi ilivyo huku Shirikisho.... Timu za Simba au Yanga kudondokea huku ilikuwa ni Kuzionea timu hasa zilizokuwa zinapambana huku tokea mwanzo..!
Hivi hizi akili mnazitoa wapi? unawezaje kudharau mashindano ambayo hauja wahi kuchukua kombe, na umeshiriki mara kadhaa? huu ni msimu wa pili mfurulizo bingwa wa super cup anatoka shirikisho mbona hua hamkui nyie?
 
Hakuna timu makini inayoruhusu kufungwa kijinga kiasi cha kuponea kwa goli moja tu itolewe, ni timu maandazi tu na mashabiki maandazi tu ndio watatetea timu kama hizo
Kwa jinsi ulivyo-comment hapa inaonekana bado sana kuuelewa mpira vizuri. Mechi zozote zile zinazohusisha mtoano huwa approach za waalimu wengi wa mpira zinabadilika kabisa tofauti na ligi.

Jaribu kufanya observation kwa timu kama Al Ahly inayofanya vizuri sana michuano ya CAF huwa kuna muda anapita ktk kundi lake mechi ya mwisho kabisa na anaenda kuwa bingwa hata wakati mwingine huwa anasurika kutoka ktk 2nd round qualifying stage.

Mamelodi msimu wa 2015/2016 alitolewa 2nd round na As Vita ila alirejeshwa baada ya As Vita kumchezesha mchezaji ambaye alikuwa hajasajiriwa, baada ya hapo Mamelodi wakaenda kubeba ligi ya mabingwa moja kwa moja.

Michuano hii huwa mechi ya kwanza ndio inayo-control tempo ya mechi ya pili, mara nyingi anayehitaji matokeo ndiye atajilipua mchezo wa marudiano. Unafikiri kuna ulazima wa kufunguka wakati umeshinda goli 4 mchezo wa kwanza?
 
Kwa jinsi ulivyo-comment hapa inaonekana bado sana kuuelewa mpira vizuri. Mechi zozote zile zinazohusisha mtoano huwa approach za waalimu wengi wa mpira zinabadilika kabisa tofauti na ligi.

Jaribu kufanya observation kwa timu kama Al Ahly inayofanya vizuri sana michuano ya CAF huwa kuna muda anapita ktk kundi lake mechi ya mwisho kabisa na anaenda kuwa bingwa hata wakati mwingine huwa anasurika kutoka ktk 2nd round qualifying stage.

Mamelodi msimu wa 2015/2016 alitolewa 2nd round As Vita ila alirejeshwa baada ya As Vita kumchezesha mchezaji ambaye alikuwa hajasajiriwa, baada ya hapo Mamelodi wakaenda kubeba ligi ya mabingwa moja kwa moja.

Michuano hii huwa mechi ya kwanza ndio inayo-control tempo ya mechi ya pili, mara nyingi anayehitaji matokeo ndiye atajilipua mchezo wa marudiano. Unafikiri kuna ulazima wa kufunguka wakati umeshinda goli 4 mchezo wa kwanza?
💩💩💩
 
Back
Top Bottom