Ft SSC VS YANGA DRW

Ft SSC VS YANGA DRW

NIMEANDIKA POST NYINGINE REFA ASIKOSEE TU AKIARBU ATAJAZA NZI
 
Uko vizuri mkuu. Japo hawa guluguja mikia wamebebwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia leo mashabiki wa Simba tutaanza kuwa na adabu kwa Yanga, tuache mbwembwe na kejeli zisizo za kimichezo, huo ni ushamba hasa Manara, huwa ananiboa sana.

Lazima tuishangilie timu yetu ila tusibeze wapinzani, timu zinaweza kuraise standards kwa mechi husika msiamini macho yenu.

Manara anatafuta tu pa kupandia ngazi. Wapo eti wanaomuamini. Mtu anatoa povu simba hata waje Barcelona tutawachapa,bado wanaamini porojo zake. Ni miongoni mwa watu historia itawahukumu kuua soka letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom