Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
WapigweeeeeeeeKila la kheri Simba SC
watanganyika wanaomboleza,hawana furaha+ Amani!Naona wenye nchi wako busy na maandalizi ya D9!! Hii hali siyo ya kawaida hata kidogo.
Ni saa 1 (moja) siyo saa 7Mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa leo saa 7:00 usiku wakati Stade Malien kutoka Mali itakapokutana na Simba SC ya Tanzania.
Mechi hii itachezwa Stade du 26 Mars, Bamako, Mali Novemba 30, 2025, na mashabiki wanatarajiwa kuonja ushindani mkali kwani pande zote mbili zinataka kushinda mechi hii ili kujihakikishia nafasi nzuri zaidi.
Nimeshangaa sana na kushtushwa na uandishi wa huyu mleta uzi hapa.Ni saa 1 (moja) siyo saa 7
Hapo mbele wanaruka ruka tyGood ...rudini nyumbani
Mkuu